Shalom wapendwa na wadau wangu kwanza ninawashukru kwa Support zenu wote mnaoendelea kubarikiwa na nyimbo hizi,Mungu awabariki sana.Bila support zenu siwezi kudogea kwahiyo Nawashukru sana kwa kuwa pamoja na mimi.vedio ya huu wimbo itakuwa tayari muda wowote naomba muendelee kusubiri msichoke.Ahsanteni.
Amen amen 🙏
Gooooood song
this is fantastic woman of God …I like the collabo ..you song just like Martha .God bless you
Ahsante kaka Frenk wendo
Amina Dada Entujel
Shalom wapendwa na wadau wangu kwanza ninawashukru kwa Support zenu wote mnaoendelea kubarikiwa na nyimbo hizi,Mungu awabariki sana.Bila support zenu siwezi kudogea kwahiyo Nawashukru sana kwa kuwa pamoja na mimi.vedio ya huu wimbo itakuwa tayari muda wowote naomba muendelee kusubiri msichoke.Ahsanteni.
Nice god🙏🙏
Hii NYIMBO nzr KWELI imenibariki SANA
Still rolling. Mungu akufanikishe
Tunasubiri
Bless you sister
Hongera Sana dada ake
Barikiwa sana wimbo mzuri na video ina dalili zote za ubora wa kimataifa
Amina Dada yangu
Barikiwa sana