MSALA: Msanii chipukizi wa Nigeria aingiza Tshs Mil. 169 kila mwezi kwa kuupload album ya Wizkid

[

Newsletter

Enter your email address to subscribe to this site and receive notifications of new posts by email.

31 Comments

  1. Namimi ntatumia dimoo Naenda kwa mondi nazani tutalipana mbele ya safari adi kieleweke atanikiwekewa hukumu ya kitanzi poa tu

  2. Hizo platforms hazijaamua tu, mbona Kuna app ukipiga nyimbo ukaifungua ukaweka simu karibu inakuambia ni wimbo gani na msanii gani aliyeimba. Hivyo kwa swala la tekinolojia ipo ila ni wao tu hawajaamua kufanya hivyo.

  3. Ni ubunifu mzr lkn bdo sjaelewa kwann sas ajipatie utajir kuptia mgongo wa mwenzake kwann astoe ngoma zake mwnywe kulko hvy maan mwenzake tiar keshatoboa na kahaso kuziandaa hzo ngoma ambazo yy ameziaplod alaf anajipatia hela kiurahis anyway hongera kwake

  4. Ubunifu mzuri sana,…muda sio mrefu na mm nitapita na album ya AFRICAN BOY by jux,,, Maana Ndio album yangu ya muda wote🤣🤣🤣

  5. Ivi haujiwi scammer #1 ulimenguni nzima inatoka Nigeria?
    #1 hash papy.
    #2 Yahoo boys, which is a Nigerian scammer campany

Leave a Reply