[ad_1]
The renowned Christian Music minister and worship leader who is the Spouse of Gideon Kimanzi, “Alice Kimanzi” comes through with a song of praise worship which she titles “Chukua“.
Listen, Share & Stay Blessed as you enjoy.
DOWNLOAD MORE ALICE KIMANZI SONGS HERE
Lyrics: Chukua by Alice Kimanzi
Verse 1:
Wewe ni Mungu Mkuu
Mwenye kutenda mema
Mapito yako ni mema
Umejawa na wema
Fadhili nazo rehema
Nami sasa nasema (Asante eeeh)
Pre:chorus:
Nyota ya asubuhi (Yesu)
Mfalme wa Amani (Yesu)
Jiwe la Pembe (Yesu)
Mwanzo tena mwisho (Yesu)
Chorus:
Sifa zote Baba
Chukua Baba Zote Chukua
Na utukufu
Chukua wastahili Chukua
Mamlaka yote Yahweh
Chakua Baba Yote Chukua
Nayo heshima
Chukua wastahili Chukua
Verse 2:
Wewe ni Mungu Mkuu
Mwenye kutenda mema
Mapito yako ni mema
Umejawa na wema
Fadhili nazo rehema
Asante eeeh
Pre-chorus:
Mfalme wa wafalme (Yesu)
Kuhani mkuu (Yesu)
Mkombozi wetu (Yesu)
Mwanzo tena mwisho (Yesu)
Chorus:
Sifa zote Baba
Chukua Baba Zote Chukua
Na utukufu
Chukua wastahili Chukua
Mamlaka yote Yahweh
Chakua Baba Yote Chukua
Nayo heshima
Chukua wastahili Chukua
Bridge:
Twakuinamia Eh Yahweh
Twakuchezea Massiah (x2)
Vamp:
Kama we wapenda Yesu (cheza, cheza, cheza)
Inua mikono umsifu (sifu, sifu, sifu)
Je wapenda Messiah (cheza, cheza, cheza)
Inua mikono umsifu (sifu, sifu, sifu)
Kulia kishoto tuna (cheza, cheza, cheza)
Na mbele na nyuma tuna (sifu, sifu, sifu)
Mwenye Baraka eh (Amen)
Mwenye uzima (Amen)
Mwenye faraja eh (Amen)
Mwenye mamlaka (Amen)
[ad_2]
Leave a Reply